Mawaziri wambeza Mbowe
Wakati hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu inaederes kujadiriwa leo,tayari bajeti hiyop imetoa majibukuhusu dhana kwamba muhimili waser...

http://cmasele.blogspot.com/2017/04/mawaziri-wambeza-mbowe.html
Wakati hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu inaederes kujadiriwa leo,tayari bajeti hiyop imetoa majibukuhusu dhana kwamba muhimili waserikali kuwa unaingilia uhuru wa mihimili mingine.
Hotuba ya ofisi hiyo iliyosomwa na waziri Mkuu,kasimu Majaliwa wakati akiwasirisha hotuba yake kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017 imetoa taswira ya wazi ya serikali kutoa ushirikiano wa kutosha wa kuifanya mihimili hiyo kufanya kazi kwa uhuru na ufanisi.
Matharani akiwasirisha maoni ya kambi rasmi ya upinzani Bungenikuhusu hiyo ya bajeti ya Waziri Mkuu kiongozi wa kambi hiyo Bw Freemani Mbowe (Chadema) alilazimika kukatizwa mara kwa mara kutokana na kutoa kauli kwamba mhimili wa mahakama haupo huru.