Mwanamke kortini kwa kuunguza
Mwanamke mmoja mkaazi wa kijiji cha Rudi wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma Agnes Mtalima (42)amefikishwa mahakamani kujibu mashita ya kumjeru...

http://cmasele.blogspot.com/2017/03/mwanamke-kortini-kwa-kuunguza.html
Mwanamke mmoja mkaazi wa kijiji cha Rudi wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma Agnes Mtalima (42)amefikishwa mahakamani kujibu mashita ya kumjeruhi mjukuu wake kwa kumchoma moto sehemu mbalimbali za mwili baada ya kula karanga bila idhini yake.
Alisomewa shitaka lake na mwendesha mashitaka wa polisi, Godwini Ikema mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya Mpwapwa, Pascal Mayumba.
upande wa mashitaka ulidai mahakamani kuwa mtuhumiwa huyo anakabiliwa na makosa mawili la kujeruhi, kuchoma moto mtoto wa miaka mitano kinyume cha kifungu cha sheria namba 225ya kanuni ya adhabu namba 16iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.