Serikali kukarabati shule
Kutokana na shule kongwe kufanya vibaya katika matokeo ya mitihani mbalimbali,Serikali imeamuakuzikarabati shule hizo ili kuzirudishia hadhi...

http://cmasele.blogspot.com/2017/03/serikali-kukarabati-shule.html
Kutokana na shule kongwe kufanya vibaya katika matokeo ya mitihani mbalimbali,Serikali imeamuakuzikarabati shule hizo ili kuzirudishia hadhi yake ya awali.
Katika Bunge lililopita waziri wa Elimu ,Sayansi Teknolojia na mafunzo ya ufundi Dk Joyce Ndalichako alibainisha kuwa kwenye bajeti ya mwaka 2016/2017 Serikali imetenga jumla ya sh. bilioni 33 kwa ajiriya kukarabati shule kongwe zote nchini na kwa kuanza , jumla ya shule 20 zitakarabatiwa kupitia mpango huo , ambapo sh. billioni zimetengwa kwa kazi hiyo.
Kaimu mkurugenzi wa sera na mipango ,Gerald Mweli alisema Serikali imeanza na hatua ya ukarabati wa shul;e hizo , ikiamini kuwa mazingira ya shule pia yanachangia ufaulu bora kwa mwanafunzi.