Pin It

Makonda alindwe

Mwandamu yeyote anamazuri na mabaya,ndio maana kunamsemo wa kuwa, kila mtu anamapungufu yake,nimelazimika kuyasema haya kutokana na kinachoj...

Mwandamu yeyote anamazuri na mabaya,ndio maana kunamsemo wa kuwa, kila mtu anamapungufu yake,nimelazimika kuyasema haya kutokana na kinachojili kuhusu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  ndugu Paulo Makonda ,anavyoandamwa kila kona

Katika hali hii ilivyo namuomba sana mh Rais John Pombe Magufuli,amlinde kiongozi huyu wa mkoa dhidi ya wale wanaomuandama hata kama yanayosemwa yatakuwa ya kweli , nimetangulia kusema kuwa hakuna mwanadamu mtimilifu,hivyo.

 Mh Raisukiona mchawi anamwandama mwanao kumroga ujue anakulenga wewe wala hamaanishi anamchukia mwanao bali anachuki na wewe ,hivyo ameamua kumroga mwanao kwa lengo la kukukomoa wewe  basi

Kwa maneno yangu haya machache ninashaka na hao wanaomuandama Paulo Makonda,kwamba shida yao ni makonda  sidhani kabisa , hisia zangu ni kuwa wanalengo la kukuandama wewe kupitia mzunguko ,hisia zangu ukimfukuza makonda wataibuka na mwingine ,hawa hawapendi kuona unafanikiwa juu ya kutokomeza maovu nhini.

Makonda anamapungufu yake kwakuwa ni mwanadamu lakini upungufu wake ulinganishwe na kazi alizozifanya kwa muda mfupi .

Related

Makala 6364905548072379296

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item