Pin It

Fisi aua watoto

Fisi kutoka katika hifazi ya Ngorongoro kata ya Nainokanika, mkoa wa Arusha wamevamia boma la wamasai nakuua watoto wawili Akapuko Ngaruma(4...

Fisi kutoka katika hifazi ya Ngorongoro kata ya Nainokanika, mkoa wa Arusha wamevamia boma la wamasai nakuua watoto wawili Akapuko Ngaruma(4) na mdogo wake Esupati Ngaruma wa miezi tisa

Diwani wa kata hiyo bw Edward Maura ambaye ni mwenyekiti wa baraza la wafugaji wilaya ya Ngorongoro,amethibitisha tukio hilo, pia amesema kwa mujibu wa mila za kimasai mabaki ya miili ya watoto hao ilizikwa juzi.

Related

News 5988817351771418164

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item