Pin It

Magufuli awataka wananchi walime

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dk John Pombe Magufuli,amewataka wananchi nchi nzima kuzitumia vizuri mvua zinazonyesha sasa kulima ...

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dk John Pombe Magufuli,amewataka wananchi nchi nzima kuzitumia vizuri mvua zinazonyesha sasa kulima mazao yanayositahamili ukame na yanayokomaa kwa muda mfupi.

Rais Dk Maguli yaliyasema hayo juzi mkoani Lindi,ambapo yupo huko kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua shughuri za maendeleo, Rais aliwatahathalisha wananchi kuondokana na tabia ya kutegemea kuwa Serikali itawapelekea misaada ya chakula.


Related

News 8013485434967475166

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item