Pin It

madawa ya kulevya yateketezwe

Serikali imefanya kazi kubwa ya kupambana na madawa ya kulevya, tumeona kupitia runinga,kusikiliza radio,mitandao,kusoma kupitia magazeti,pa...

Serikali imefanya kazi kubwa ya kupambana na madawa ya kulevya, tumeona kupitia runinga,kusikiliza radio,mitandao,kusoma kupitia magazeti,pamoja na njia mbalimbali za mawasiliano,kwa kweli Serikali inasitahili pongezi.


Pamoja na hayo sasa ni wakati muafaka sisi wananchi kuona dawa hizo hatari zinateketezwa,nasema hivyo kwa sababu ya wasiwasi wangu kuwa, wanaotunza dawa hizo ni binadamu ambao kama kawaida wanadamu sio watimilifu hivyo Serikari iteketeze dawa hizo haramu zisije kurudi tena mitaani zoezi hilo liwe hadharani kama inavyo fanyika kwa siraha haramu.

Related

Makala 7680963847114619372

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item