Kiwanda chatozwa 25millioni
Kiwanda cha Chemicotex kinachozalisha bidhaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na dawa za mswaki, vipodozi pamoja na mafuta ya kupikia kilichopo Af...

http://cmasele.blogspot.com/2017/02/kiwanda-chatozwa-25millioni.html
Kiwanda cha Chemicotex kinachozalisha bidhaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na dawa za mswaki, vipodozi pamoja na mafuta ya kupikia kilichopo Africana Mbezi Beach wametozwa faini ya shilingi milioni 25 kwa kosa lakutiririsha maj machafu yenye kemikali kwenye mifereji ya kupitishia maji ya mvua.
Adhabu hiyo inatokana na ziara iliyofanywa na Naibu Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na mazingira mh Luhaga Mpina, katika viwanda mbalimbali jijini Dar es salaam kukagua utekerezaji wa maagizo yake aliyoyatoa katika ziara.