Pin It

Nhc wazindua uuzaji nyumba Dodoma

Shirika la nyumba Tanzania NHC limezindua uuzaji wa nyumba za makaazi katika eneo la Iyumbu mkoani Dodoma, uzinduzi huo unaenda sambamba na ...

Shirika la nyumba Tanzania NHC limezindua uuzaji wa nyumba za makaazi katika eneo la Iyumbu mkoani Dodoma, uzinduzi huo unaenda sambamba na maamuzi ya serikali ya awamu ya tano kuhakikisha serikari kuu inahamia Dodoma.

Pichani ni mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la Taifa Nehemia Mchechu(katikati),kushoto ni mkurugenziwa mawasiliano na huduma kwa jamii Suzan Omar akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu uzinduzi huo.

Related

Makala 1465817574187864961

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item