Pin It

Kikongwe aanza la kwanza

Kikongwe wa miaka 75, mkaazi wa Kijiji cha Getenga ,kata ya Mbogi Wilaya ya Tarime,Mkoa Mara ameanza shule ya msingi darasa la kwanza katika...

Kikongwe wa miaka 75, mkaazi wa Kijiji cha Getenga ,kata ya Mbogi Wilaya ya Tarime,Mkoa Mara ameanza shule ya msingi darasa la kwanza katika shule  ya msingi Makerero.

Mwaka jana alikuwa akisoma darasa la awali (chekechea), na alifanya vizuri jambo lililosababisha aandikishwe kuingia darasa la kwanza mwaka huu.

Kwa mujibu wa Mwalimu mkuu wa shule hiyo ndugu Riziki Focus alisema kuwa mzee huyo aliandikishwa baada ya kufunguliwa shule hiyo .

Mzee huyu alifanya vizuri sana  mwaka jana katika darasa ya awali hivyo tukaona amekidhi viwango vya kuandikishwa darasa la kwanza  alisema ndugu Focas.                                   

Related

Makala 2033903219197870203

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item