Pin It

Mwalimu na mchungaji wadaiwa kunajisi

Mwalimu mmoja wa sekondari ya Zingiziwa jijni Dar es salaam,bw George Mugisha amefikishwa kwenye mahakama ya wilaya ya Ilala, akiwa anatuhum...

Mwalimu mmoja wa sekondari ya Zingiziwa jijni Dar es salaam,bw George Mugisha amefikishwa kwenye mahakama ya wilaya ya Ilala, akiwa anatuhumiwa kumnajisi mwanafunziwa umri wa miaka mitano.

Mwalimu huyo alifikishwa mahakamani hapo jana mbele ya hakimu Wilberforce Luhwago,akimsomea mashitaka yanayo mkabiri mwendesha mashitaka,bw Eric Shija alisema kuwa mshita kiwa huyo alitenda kosa hilo september mwaka jana.

Akifafanunua zaidi mwendesha mashitaka huyo alitenda kosa hilo kwa nyakati tofauti mwezi huo mwaka jana huku akijua ni kinyume cha sheria.

Huko mkoani Kilimanjaro wilaya ya Hai imeelezwa kuwa mchungaji wa kanisa la Pentecoste Tanzania bw Emanuel Mwikizu(42)amefikishwa katika mahakama ya wilaya hiyo akituhumiwa kumnajisi mwanae mwenye umri wa miaka saba.

Mwendesha mashitaka wa polisi Elisha Molel aliiambia mahakama hiyo mbele ya hakimu Anold Kirekiano, kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo huku akijua ni kinyume cha sheria,alisema kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo januari17 saa 3;30mwaka huu nyumbani kwake mtaa wa Gezaulole.

Hakimu ariiahirisha kesi hiyo hadi februari 9 mwaka huu kesi itakapo kuja kwa ajiri ya kutajwa mshitakiwa alirudiswa rumande baada ya kushindwa kutimiza mashariti ya dhamana.

Related

News 7914914794201513478

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item