Pin It

Trump aapa

Hatimae Donald John Trump aliapishwa jana kuwa Rais wa 45 wa Marekani, sherehe za kuapishwa zilifanyika jana 20 january2017 usiku wa kuamkia...

Hatimae Donald John Trump aliapishwa jana kuwa Rais wa 45 wa Marekani, sherehe za kuapishwa zilifanyika jana 20 january2017 usiku wa kuamkia leo, jijini Washington katika viwanja vya Capitol Hill.

Sherehe ya kuapishwa bw Trump zilihudhuriwa na maelfu ya watu,vilevile zilishuhudiwa na mamillion ya watu ulimwenguni kote kupitia runinga na mitandao ya kijamii pamoja na watu kusikiliza radio mbalmbali.

Imekuwa nitofauti na baadhi ya watu waliodhani kuwa sherehe hizo hazitakuwa na watu wengi, pamoja na watu wengi kushuhudia, yalikuwepo makundi  ya watu wachache yaliyokuwa yakiandamana kupinginga kuapishwa kwake.

Akizungumza baada ya kuapishwa bw Trump alimshushukuru mtangulizi wake bw Barack Obama kwa kazin nzuri aliyofanya katika uongozi wake,

Bw Trump amewaambia wamarekani kuwa nchi hiyo niyao wote atahakikisha Taifa hilo linakuwa nanguvu zake kama zamani, pia ameahidi kupambana na makundi ya kigaidi Duniani.

Related

Siasa 7282885274353405928

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item