Ajifungua mtoto wa vichwa viwili
Mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamgembe kata ya Buruma wilaya Butiama ajulikanaye kwa jina la Anastazia Richard amejifungua mtoto wa vichwa viwi...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/ajifungua-mtoto-wa-vichwa-viwili.html
Mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamgembe kata ya Buruma wilaya Butiama ajulikanaye kwa jina la Anastazia Richard amejifungua mtoto wa vichwa viwili.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 16 alijifungua mtoto huyo wa ajabu january 12 mwaka huu katika zahanati ya Nyamika iliyopo katika kijiji hicho na alijifungua majira ya saa 7;00 mchana .
Kwamji wa mganga mkuu wa zahanati hiyo bw Francis Moto amesema kuwa mama huyo alifikishwa katika zahanati hiyo tarehe 10mwezi huu .
Bw Moto alieleza kuwa, mama huyo wakati wakujifungua mtoto alikuwa ametanguliza miguu,amesema kuwa walibaini kuwa mtoto huyu anavichwa viwili baada mwili wote kutoka.