Bank ya I&M yakabidhi madawati
Bank ya I&M Bank jana ilitoa mchango wa madawati semanini na nane katika shule za msingi Mchikichini na Chemchem zote zipo Mbagara Temek...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/bank-yakabidhi-madawati.html
Bank ya I&M Bank jana ilitoa mchango wa madawati semanini na nane katika shule za msingi Mchikichini na Chemchem zote zipo Mbagara Temeke Dar es salaam, madawati hayo yalikuwa na dhamani ya shilingi million kumi na tano.
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo kwa nyakati tofauti bw Baseer Mohamed amesema kuwa Banki yao imekuwa ikitoa michango mbalimbali ya kijamii katika taasisi za umama ili kukusaidiana na Serikali katika mambo muhimu kwa umma.
Kwa upande wake mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mchikichini bw Merkiory Leonard aliishukuru Banki hiyo kwa msaada huo wa madawati na kuzitaka Banki zingine kuiga mfano huo.
Nae kaimu afisa Elimu wa kata ya Kibondemaji kwa niaba ya shule ya Chemchem yaliishukuru Bank ya I&M kwa msaada huo wa madawati kwa maelezo kuwa wamepewa wakati muafaka.