Samaki toka China wakamatwa Mbeya
Samaki kutoka China tani wamekamatwa Jijini Mbeya , imedaiwa wametokea katika bandari ya Dar es salaam kuelekea nchini Zambia, lakini katik...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/samaki-toka-china-wakatwa-mbeya.html
Samaki kutoka China tani wamekamatwa Jijini Mbeya , imedaiwa wametokea katika bandari ya Dar es salaam kuelekea nchini Zambia, lakini katika hali ya kushangaza samaki hao walikutwa wakishushwa jijini hapo.
Kwa mujibu wa kaimu meneja wa wa mamlaka ya mapato mkoa wa Mbeya bw Demson Ngate amesema taarifa za kuwepo udanganyifu huo walizipata kutoka kwa vyombo vya dola ambavyo viliwapatia taarifa na kufanikisha kuwakamata