Pin It

CCM yashinda Dimani

Chama cha Mapinduzi kimeshinda auchaguzi katika jimbo la Dimani Zanzibar kwa mjibu wa matokeo wa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya taifa ya ...

Chama cha Mapinduzi kimeshinda auchaguzi katika jimbo la Dimani Zanzibar kwa mjibu wa matokeo wa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya taifa ya uchaguzi, mgombea wa chama hicho bw Juma Ali Juma amepata kura 4860, na mgombea wa Cuf bw Abdulrazak Khatib Ramadhani amepata kura 1234.

Hata hivyo chama cha wananchi CUF kimelalamikia uchaguzi huo kuwa ulichezewa kwa sababu hata wasiositahiki walionekana wamepiga kura akitolea mfano dada yake aliyefariki kuwa alikuwa kwenye orodha ya wapiga kura.

Ushindi huo wa CCM umekipa nguvu chama hicho kutokana na mivutano ya kisiasa iliyopo kisiwani humo.

Related

Siasa 4686712270555633616

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item