Askofu Malasusa
Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania Dkt Alex Malasusa juzi alifungua tawi jipya la Banki ya maendeleo, pale Kariakoo . Ba...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/askofu-malasusa.html
Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania Dkt Alex Malasusa juzi alifungua tawi jipya la Banki ya maendeleo, pale Kariakoo .
Banki hiyo inamilikiwa na kanisa hilo hivyo ufunguzi huo ni ishara ya kuisogeza zaidi karibu na wananchi.
Pichani askofu wa kanisa hilo Dayosisi ya mashariki na pwani Dkt Alex Malasusa (mbele) akiweka fedha katika akaunti yake mara baada ya kuzindua tawi hilo, katikati ni mkurugenzi mtendaji wa Benki hiyo bw Iblahimu Mwangalaba.