Hasala DART
Juzi Rais Dkt John Magufuli alizindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi DART pale gerezani jijini Dar es salaam na aliwaagiza mawaziri wawili k...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/hasala-dart.html
Juzi Rais Dkt John Magufuli alizindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi DART pale gerezani jijini Dar es salaam na aliwaagiza mawaziri wawili kumpa taarifa juu ya kinachopatikana katika biashara hiyo.
Kwa msisitizo Dk Magufuli aliwapa mawaziri hao siku tatu wawe wamempa taarifa ya mapato, pamoja na hayo aliwaeleza kuwa katika misamiati yake,hana msamiati unaoitwa hasara.
Naomba kuwaeleza mawziri wanaohusika na mradi huu kuwa hata kama wanapata faida japo sinauhakika na hilo,waanze sasa kuziba mianya ya upotevu wa mapato ninayoijua mimi ili wasimkwaze Rais wetu,mfano mmoja wa upotevu wa mapoto ni huu mdogo, kwamba katika daladala ukizunguka na basi utalazimika kulipa nauli mara mbili lakini katika mabasi haya ya mwendo kasi utazunguka na nauri ileile hakuna anaejari.
Nawashauri mawaziri hawa wabuni mkakati kuhahakikisha mabasi yanapofika mwisho wa vituo (terminal) abiria wote wawe wanashuka badala ya sasa kuzunguka na nauri moja,mfano mtu anaenda kimara anapanda posta ya zamani anaenda hadi ferry na kurudi kimara kwa nauri ileile, abiria kama huyu alitakiwa alipe nauri ya kwenda ferry pia aripe ya kwenda Kimara.