Mh Rais watu walizoea uongo
Toka wakati wakampeni za uchaguzi mkuu wa Taifa letu Tanzania 2015 mh Dk John Magufuli alijipambanua kuwa ni msema kweli, nawale waliofuatil...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/mh-rais-watu-walizoea-uongo.html
Toka wakati wakampeni za uchaguzi mkuu wa Taifa letu Tanzania 2015 mh Dk John Magufuli alijipambanua kuwa ni msema kweli, nawale waliofuatilia kampeni zake watakubaliana name kuwa aliendesha kampeni zake kwa kusema ukweli.
Dk John Pombe Magufuli hata aliposhinda Urais ameendelea kusema ukweli, najua wapo watu ama kwabahati mbaya au kwa makusudi hawapendi kusikia ukweli unaosemwa na na mh Rais Magufuli watanzania wenzangu ukweli kwa baadhi ya watu unauma lakini ni bora uambiwe ukweli hata kama utakuuma.
Wapo watu hata kama wataambiwa kitu cha manufaa kwao huwa hawaelewi,watu wanamna hiyo ikibidi inapaswa wakaripiwe kwa namna yoyote ile hakuna haja ya kuwabembeleza mfano wakulima walipewa tahathali ya upungufu wa mvua wakatakiwa walime mazao yanayostahamili ukame, lakini hawakuelewa wakalima yasiyositahamili ukame sasa unataka mh Rais abembeleze watu wa namna hiyo?
Tuacheni uzandiki achene waelezwe ukweli ili safari nyingine wasirudie makosa , mtu akinunua debe moja la mahindi kwa ng'ombe mmoja au watatu mwaka unaofuatia hatafanyaubishi akipewa taarifa za kitaalamu kuhusu hali ya hewa achani wapewe vidonge vyao.
Bahati nzuri mimi ni mzaliwa wa Simiyu najua machungu ya njaa lakini najua pia kuna baadhi wa watu wasivyo zingatia maelekezo ya kitaalam yatupasa tuwe wasikivu.
Miaka ya nyuma zao kuu la chakula katika mkoa wa Shinyanga na sasa Simiyu ya sasa ilikuwa ni mtama na mahindi kidogo hili halina ubishi ulizeni mwenyeji wa huko, isito hata maeneo mengine nchini kama kama watu walizoea chakula Fulani wabadilike kulingana na hali ya hewa ya wakati husika.