Sumatra yapiga marufuku majahazi kusafirisha abiria
Mamlaka yaudhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA mkoa wa Tanga imepiga marufuku majahazi na boti ambazo hazijasajiriwa kuacha ma...

http://cmasele.blogspot.com/2017/01/sumatra-yapiga-marufuku-majahazi_0.html
Mamlaka yaudhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA mkoa wa Tanga imepiga marufuku majahazi na boti ambazo hazijasajiriwa kuacha mara moja kusafirisha abiria.
Marufuku hiyo imetolewa na ofisa mfawidhi mkoani Tanga Dk Walukani Luhamba amesema vyombo hivyo havipaswi kusafirisha abiria kwa kuwa vipo kwa ajiri ya kusafirisha mzigo na sio abiria.
Dk Luhamba amesema majazi hayo yamekuwa yakibeba mizigo na abiria kwa pamoja tena kwa kupitiliza kitu ambacho ni hatari kwa maisha na mali zao.