Pin It

Rais Magufuli anafuata nyayo

Rais John Pombe Magufuli anafuata nyayo za Mwalimu Julius K Nyerere katika masuala mbalimbali ya kiutendaji. Maneno hayo yalisemwa na mkur...

Rais John Pombe Magufuli anafuata nyayo za Mwalimu Julius K Nyerere katika masuala mbalimbali ya kiutendaji.

Maneno hayo yalisemwa na mkurugenzi mtendaji wa Salebhai glass Industries bw Sajjad Salebhai alipozungumza na mwandishi wa habari hizi ofisini kwake jana jijini Dar es salaam alipokuwa akimtakia kheri Rais Magufuri,pamoja na wananchi wote, katika kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa Taifa letu Tanzania

Bw Salebhai alisema kuwa amevutiwa sana na utendaji kazi wa Rais Magufuli kwa kuwa unaonyesha kujari wananchi wote bila kuangalia uwezo wa kiuchumi wala dini zao.

"Rais Magufuli ameamua kuimalisha Elimu,kukomesha uzembe serikalini,anawashughulikia wabadhirifu wa mali za umma,ameonyesha kuwajari wakulima na wafugaji,anafufua mashirika ya umma mfano ATCL anahimiza ujenzi wa viwanda,yote hayo ndio ilikuwa vipaumbele vya Mwalimu Nyerere namtakia afya njema na maisha marefu Rais magufuli" alisema bw Salebhai

Related

Siasa 5426289507835772923

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item