Pin It

Rais Magufuli kukagua gwaride

Leo nchi yetu inaadhimisha miaka 55 ya uhuru wake toka upatikane kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza 9/10/1961. Taifa letu limekuwa likiadhi...

Leo nchi yetu inaadhimisha miaka 55 ya uhuru wake toka upatikane kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza 9/10/1961.

Taifa letu limekuwa likiadhimisha kila mwaka inapofika tarehe kama ya leo ambapo Rais wa nchi hukagua gwaride la heshima.

Mwaka huu Rais Magufuli ni mara yake ya kwanza kukagua gwaride la Majeshi yetu mbalimbali yakiongozwa na jeshi la wananchi.,gwaride hilo litakuwa katika uwanja wa Taifa Temeke Dar es salaam,wananchi wote waliokaribu wanatakiwa kufika huko na waliombali waangalie kupitia katika luninga au wasikilize radio zao hasa TBC Taifa.

Related

Siasa 1971602676639351486

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item