Pin It

Mfanyakazi wa ndani afanyiwa ukatili

Binti Witnes Masonda mwenye umri wa miaka 14,amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kumwagiwa miguuni mafuta ya kupikia yaliyokuwa na moto. Hab...

Binti Witnes Masonda mwenye umri wa miaka 14,amefanyiwa ukatili wa kutisha kwa kumwagiwa miguuni mafuta ya kupikia yaliyokuwa na moto.

Habari za kuaminika kutoka jeshi la Polisi mkoani Mbeya zinasema kuwa tokio hilo limetokea hivi karibuni,ambapo binti huyo wa kazi alifanyiwa ukatili huo na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Bupe  Benjamin mkaazi wa Uyole.

Inadaiwa kuwa mama huyo alimfanyia ukatili huo mtoto huyo kwa madai kuwa alikuwa amechelewa kupika mboga ndipo alipo mfokea na kumuunguza na mafuta ya moto miguu yote miwili,Jeshi la Polisi linamsaka mama huyo ili limfikishe katika vyombo vya sheria.

Related

News 6731071219546550869

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item