Pin It

Sotoka yaangamiza wanyama

Ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni sotoka umeangamiza idadi kubwa ya wanyama pori na wanaofugwa Kwamujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka mkoani Arush...

Ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni sotoka umeangamiza idadi kubwa ya wanyama pori na wanaofugwa
Kwamujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka mkoani Arusha vinaeleza kuwa ugonjwa huo umeibuka mkoani humo katika Wilaya ya Monduli, inadaiwa wanyama walioathirika zaidi ni nyumbu na swala kwa wanyamapori, kwa upande wa wanyama wanaofugwa ni kondoo na mbuzi.

Related

News 5824364925801420822

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item