Pin It

Mwanamke afa kwa 'nabii'

Mwanamke aliyekuwa akijulikana kwa jina laLightness Kivuyo mkaazi wa unga limited jijini Arusha amefia kwa 'Nabii' Rajabu. Kwa muji...

Mwanamke aliyekuwa akijulikana kwa jina laLightness Kivuyo mkaazi wa unga limited jijini Arusha amefia kwa 'Nabii' Rajabu.
Kwa mujibu wa vyanzo vilivyopo jijini hapo mwanamke huyo alipelekwa kwa 'Nabii' huyo mmewe ili afanyiwe maombi ambayo bado hayajajurikana sababu zake.
Uongozi wa Hospitali ya mkoa huo Mount Meru kupitia kwa mganga mkuu Jacqueline Uriwo umethibitisha kupokea mwili wa mtu huyo akiwa ameshafariki.
Naopolisi mkoani Arusha kupitia kwa kamanda wa mkoa huo Charles Mkumbo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo,na imewatia mbaroni mme wa mwanamke huyo pamoja na 'Nabii' huyo.

Related

News 2261677357391890141

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item