Pin It

kesi ya scorpion

Upelelezi wa kesi ya unyang'anyi inayomkabili bw Salumu Njetwe jina maarufu 'scorpion' umekamilika. Kwa mujibu wa wakili wa ser...

Upelelezi wa kesi ya unyang'anyi inayomkabili bw Salumu Njetwe jina maarufu 'scorpion' umekamilika.
Kwa mujibu wa wakili wa serikali Chensise Gavyole aliiambia mahakama mbele ya hakimu mkaziFlorola Haule kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika, hivyo akaiomba mahakama ipange tarehe kwa ajiri ya kusomewa maelezo ya awali.
kwa upande wake mshitakiwa huyo aliiomba mahakama imsomee maelezo ya awali hata hivyo mh Hakimu wa mahakama hiyo mh Haule hakukubaliana na ombi hilo hivyo aliiahilisha kesi hiyo hadi tarehe 30 novemba mwaka huukwa ajiriya kusomwa maelezo ya awali mshitakiwa alirudishwa rumande

Related

News 4281941131999382221

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item