Rais mstaafu awaomba wananchi wamuunge mkono Magufuri
Rais mstaafu wa awamu ya pili alhaji Alli Hassani Mwinyi,amewaomba watanzania wote kwa ujumla wao,kumuunga mkono Rais wa sasa Dk John Pombe ...

http://cmasele.blogspot.com/2016/11/rais-mstaafu-awaomba-wananchi-wamuunge.html
Rais mstaafu wa awamu ya pili alhaji Alli Hassani Mwinyi,amewaomba watanzania wote kwa ujumla wao,kumuunga mkono Rais wa sasa Dk John Pombe Magufuri,kwa kuwa anafanya kazi kubwa na zenye tija kwa wananchi na Taifa.
Mzee Mwinyi aliyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akizungumza na Dk Magufuri katika Ikulu ya Dar es salaamu, Mzee Mwinyi kwa jina maarufu "Mzee ruksa"alimsifu Rais Dk Magufuri kwa kazi kubwa na nzuri ya kupambana na ufisadi.
"Rushwa imekuwepo toka wakati wa Mwalimu lakin aliivunjavunja nasisi tuliofuatia tulipambana nayo,hivi sasa imepata mpambanaji kiboko kama tsunami,hivyo wala rushwa wote wataangamia"alisema mzee Mwinyi.
Toka wakati wa kampeni za Urais Dk Magufuri aliahidi kupambana na wala rushwa na mafisadi wote ikiwa ni pamoja na kuanzisha Mahakama ya mafisadi jambo ambalo amelitekeleza ndani ya mwaka mmoja akiwa Rais wa nchi.