Rais Magufuli afichua siri ya TRA
Rais John Pombe Magufuli amefichua siri kuwa alirazimika kuivunja bodi ya TRA baada ya kugundua imechukua fedha shiringi bilioni ishirini na...

http://cmasele.blogspot.com/2016/11/ris-magufuli-afichua-siri-ya-tra.html
Rais John Pombe Magufuli amefichua siri kuwa alirazimika kuivunja bodi ya TRA baada ya kugundua imechukua fedha shiringi bilioni ishirini na sita (26bilion) za taasisi hiyo na kuzihifadhi katika Bank binafsi kwa lengo la baadhi ya viongozi kujipatia fedha kwa kuwa waliziweka kwa akaunti za muda maalumu
"Inasikitisha kuona viongozi wa TRA wanachukua fedha za taasisi yao na kuziweka katika Bank binafsi kwa makubaliano maalumu nilipogudua hivyo ikawa kwa heri bodi yote"alisema Rais Magufuri.
Vilevile aliongeza kuwa taasisi nyingi zimekuwa zikifanya hivyo alitolea mfano moja ya taasisi iliyochini ya wizara ya elimu ambapo alimtaka waziri husika achukue hatua.