Pin It

Umeme waleta kero Dar es salaam

Baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es salaam yamekumbwa na tatitizo la kukatika umeme jana hadi leo. Taarifa kutoka katika maeneo mbalmbal...

Baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es salaam yamekumbwa na tatitizo la kukatika umeme jana hadi leo.

Taarifa kutoka katika maeneo mbalmbali zinaeleza kuwa tatizo hilo limekuwa likitokea mara kwa mar, hata hivyo siku za nyuma umeme ulikuwa unakatika kwa kipindi kifupi lakini jana tatizo limekuwa kubwa kwa sababu umeme huo umechukua muda

Related

News 4893479428696373369

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item