Pin It

Wananchi wanataka haya

Rais John Pombe Magufuli amezidi kukonga nyoyo za wanachi kwa kutatua kero mbalimbali zilizo kuwa zikiwakabiri, katika maeneo mbali mbali nc...

Rais John Pombe Magufuli amezidi kukonga nyoyo za wanachi kwa kutatua kero mbalimbali zilizo kuwa zikiwakabiri, katika maeneo mbali mbali nchini.

Hivi karibuni wakaazi wa Kigamboni wameanza kutumia pantoni mpya ya MV KAZI, katika kivuko cha Ferry ambapo hivi sasa vivuko vimefikia vitatu hivyo kuondoa msongamano uliokuwepo.

Vilevile wasafiri waziwa Nyasa hawajaachwa nyuma hivi karibuni waziri Mkuu Kasim Majariwa alizindua meli mbili mpya, ambazo zimeondoa tatizo la usafiri katika ziwa hilo.

Utatuzi wa kero zinazowakabiri wananchi katika maeneo mbalmbali umeendelea haya ndiyo wanayotaka watu sio kelele za kisiasa.

Related

Makala 3880916224347236249

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item