Pin It

Mradi huu umurikwe

Jiji la Dar es salaam limepambwa kwa kujengewa nguzo /bomba  fupi zilizofungwa na minyororo katika barabara hii ni kuzuia uharibifu wa maua ...

Jiji la Dar es salaam limepambwa kwa kujengewa nguzo /bomba  fupi zilizofungwa na minyororo katika barabara hii ni kuzuia uharibifu wa maua yaliyopo katika barabara husika.

Ukipita katika barabara za Nyerere, Azikiwe bibi Titi Mohamed na nyinginezo utaona nguzo hizo zikiwa zimepambwa kwa bendera ya Taifa kwa kweli zinavutia sana.

Hata hivyo kwa maoni yangu mradi huu uchunguzwe kwa kuwa hivi sasa ukipita katika mradi huu utaona nguzo hizo zikiwa zimeanguka na nyingine kung'olewa lakini hakuna anaejari, kwa kuwa mradi huu umegharimu pesa za walipa kodi wazalendo wa nchi hii sasa ni wakati muafaka kujua wahusika wa mradi huu kwa nini wameuterekeza.

Tunataka watuambie walilenga nini? kama malengo yao niya muhimu kwa Taifa kwa nini wameuterekeza kama zinavyoonyesha picha hizi hapa chini? watuambie bila kuwa kuwa na sababu za msingi inabidi wawajibike kwa kuachia ngazi au wawajibishwe kwa matumizi mabaya ya rasirimali za Taifa.,ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi na kuperekwa mahakamai.

Related

Makala 2163816484866982185

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item