Rais Magufuli amsifu mzee Mkapa
Rais Dk John Pombe Magufuli amemsifia, Na kumpongeza Rais mstaafu Mzee Benjamin Mkapa pamoja Na taasisi yake ya MKAPA foundation kwa kuenga ...

Rais Dk John Pombe Magufuli amemsifia, Na kumpongeza Rais mstaafu Mzee Benjamin Mkapa pamoja Na taasisi yake ya MKAPA foundation kwa kuenga nyumba said I ya mia NNE katika maeneo mbalimbali nchini.
Mh Rais dk Magufuli ameyasema hayo leo wakati alipokuwa akikabidhiwa nyumba Kumi za watumishi wa afya zilizojengwa Na taasisi hiyo huko Chato katika mkoa wa Geita.
,,Mzee MKAPA ninakupongeza kwa juhudi kubwa unazozifanya kusaidia wananchi wanyonge kupitia taasisi yako, umejenga numb a nyingi sehemu mbalimbali za nchi, isitokee watu wakadhani umeanzia kwa Magufuli, nazitaka taassi Nyingine ziige taasisi ya MKAPA alisema Rais Magufuli.