Harusi ya kufana
Harusi kubwa ya kufana ilifanyika hivi karibuni baina ya Erick Nyamweru na Lucia Yondani katika kanisa la Mtakatifu Antony Wa Patudua lilil...

http://cmasele.blogspot.com/2017/07/harusi-ya-kufana.html
Harusi kubwa ya kufana ilifanyika hivi karibuni baina ya Erick Nyamweru na Lucia Yondani katika kanisa la Mtakatifu Antony Wa Patudua lililopo Mbagara Zakhem.
Bwana harusi no mfanyakazi wa kampuni ya magazeti ya Serikali ( TSN) Na bibi harusi ni mfanyabiashara,baada ya tukio la ndoa kanisani, ilifuatiwa Na where he kubwa katika ukumbi wa JKT Mgurani kurasini.