Pin It

Maonyesho ya saba saba

Maonyesho ya saba saba katika viwanja vya mwl Nyerere Dar es salaam yamefana sana mwaka huu hii nikutokana Na kuwa Na washiriki went. Wafan...

Maonyesho ya saba saba katika viwanja vya mwl Nyerere Dar es salaam yamefana sana mwaka huu hii nikutokana Na kuwa Na washiriki went.

Wafanyabiashara wengi pamoja Na taasisi mbalimbali za summa wamereta Huduma pamoja Na bidhaa wanazotengeneza/wanazofanya hii no katika kuuza pamoja na kutoa elimu kwa umma kwa mile wanachofanya.

Hate hivyo, maonyesho hayo yameonyesha kudoda hasa katika Siku hizi zilizoongezwa, mwandishi wa habari hizi ameshuhudia mabanda mengi yamefungwa Na wahusika kuondoka, uchunguzi umebaini kuwa taasisi nyingi pamoja Na with binafsi walikuwa wamejiandaa kwa Sikh Kumi kama ilivyo kawaida ya miaka yote.

Picha mbalimbali za matukio huko saba saba pamoja Na mabanda yaliyoachwa.

Related

News 3942518109353066360

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item