Banda la kampuni ya magazeti ya Serikali lavutia watu wengi
Banda la kampuni ya magazeti ya Serikali TSN, limeonyesha ufanisi mkubwa kwa kutembelewa na watu wengi Kila Sikh katika maonyesho ya kimatai...

Banda la kampuni ya magazeti ya Serikali TSN, limeonyesha ufanisi mkubwa kwa kutembelewa na watu wengi Kila Sikh katika maonyesho ya kimataifa sabasaba kwenye viwanja vya mwl Nyerere Dar es salaamu.
Mwandishi wahabari hizi alishuhudia makundi ya witu wa Kara mbalimbali wakifika katika banda hilo.
Nae bw Festo Mwanjamilao mfanyakazi wa kampuni hiyo alieshuhudiwa na mwandishi wa habari hizi akitoa maelezo kwa wageni waliotembelea banda hill alisema kuwa kampuni yao imekuwa ikiboresha ufanisi wa kazi ndio maana wananchi wamekuwa wakivutiwa na kazi zao.
''Wewe mwenyewe unaona watu wanavyofika hapa kwa wingi, hii inatokana na namna tunavyoboresha utendaji kazi wetu, inaonyesha wananchi wanazikubari kazi zetu, Kila mwaka idadi ya wage I katika banda letu inaongezeka,nawaomba Watanzania wenzangu wazidi kutuunga mkono pia namshukuru sana mh Rais Dk John Pombe Magfuli kwa kuongeza Sikh za maonyesho haya kwa kuwa zitawasaidia wanachi went I kufaidika saidi Na maonyesho hay a huku wakipata elimu kutoka TSN''alisema bw Mwanjamilao