Pin It

Mazishi ya mama yake Charles Mtekateka ambae ni mfanyakazi wa Shirika la magazeti ya serikali(TSN)

Watu mbalimbali wakaazi wa Mabibo, pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya Dail...

Watu mbalimbali wakaazi wa Mabibo, pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya Daily News,Habari leo na Sportleo, wameunga na ndugu Charles Mtekateka katika mazishi ya mama yake mzazi Rufina Tawete.

Pichani hapo chini ni matukio mbalimbali ya mazishi hayo yaliyofanyika leo katika makaburi ya Kinondoni marehemu Rufina Tewete alifariki tarehe 7/5/2017, katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.

Related

News 4125698100832017318

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item