Pin It

Ajari barabarani

Kutokuchukua tahathari barabarani kunasababisha ajari za kila mara katika barabara zetu,ambapo husababisha madhara mbalimbali ikiwa ni pamoj...

Kutokuchukua tahathari barabarani kunasababisha ajari za kila mara katika barabara zetu,ambapo husababisha madhara mbalimbali ikiwa ni pamoja na kugharimu maisha ya watu ,pichani daladala namba T865 na gari dogo namba T478 ajari hiyo imetokea katika makutano ya barabara ya Azikiwe na Sokoine.

Related

News 4328605543000808575

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item