Mh Rais bodi ya TRA
Mh Rais Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA bw Bernad Mchomvu. ...

http://cmasele.blogspot.com/2016/11/mh-rais-bodi-ya-tra.html
Mh Rais Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA bw Bernad Mchomvu.
Taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya habari Ikulu imeeleza kuwa pamoja na kutengua uteuzi wa mwenyekiti huyo Rais ameivunja pia bodi yote ya TRA, Pamoja na hayo mh Rais amemteua ndugu Charles Kichere kuwa naibu kamishina wa mamlaka hiyo.