Pin It

Ajari za mafuta hadi lini?

Kumekuwa na matukio ya kujirudia ya ajari zinazosababishwa magari yanayobeba mafuta kupinduka Kisha kumwaga mafuta,Happ ndipo wananchi hujii...

Kumekuwa na matukio ya kujirudia ya ajari zinazosababishwa magari yanayobeba mafuta kupinduka Kisha kumwaga mafuta,Happ ndipo wananchi hujiingiza katika uchotaji mafuta.

Wakati wakiendelea na zoezi la uchotaji mafuta ndipo hutokea dhahama la mlipuko wa Moto matokeo yake ni kusababisha vifo vya watu wengi ambao huwepo katika eneo husika wakichota mafuta ama wakipita Happ na waliokuja kushangaa.

Matukio hayo ya watu kufariki kutokana na uchotoji mafuta yamekuwa yakijirudia yarishatokea Dar es salaam Meya na sasa limetokea 9jumamosi mwezi huu huko Morogoro ambapo roli lililokuwa limebeba mafuta lilipinduka katika eneo la Msamvu ambapo mafuta yarimwagika na wananchi wakajazana kuchota mafuta ambapo wakati wakiendelea kuchota mafuta Moto ulilipuka na kusababisha watu zaidi ya sabini kufariki.

Sasa ni muda muafaka kujifunza kuwa sio Kila kitu kinapotoe tukimbilie ikiwemo ajari zinapotokea lazima wananchi wachukue hatua ili kunusuru uhai wa watu.

Related

Makala 5133187417587470370

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item