Mazishi a mapacha Maria na Consolata yafanyika.
Miili ya Maria na Consolata waliofariki jumamosi iliyopita imeagwa leo katika viwanja vya chuo kikuu cha Ruaha mkoani Iringa, baadae mazishi...

http://cmasele.blogspot.com/2018/06/mazishi-mapacha-maria-na-consolata.html
Miili ya Maria na Consolata waliofariki jumamosi iliyopita imeagwa leo katika viwanja vya chuo kikuu cha Ruaha mkoani Iringa, baadae mazishi yamefanyika leo 6 juni 2018 ,katika makaburi ya viongozi wa dini wa kanisa katoliki Tosamaganga mkoani humo.Mazishi hayo yameongozwa na waziri wa sayansi na Elimu ya juu profesa Joisi Ndalichacho na kuongozwa na rais wa balaza la maaskofu wa kanisa katoliki askofu A Ngalaremtwa.