Pin It

Tuzo ya Mo Ibrahim yapata mtu.

Baada ya kupita miaka mingi huku tuzo ya Mo Ibrahim kupata kiongozi wa kumtunuku kati ya viongozi wasitaafu wa Afrika kutunukiwa'hatimae...

Baada ya kupita miaka mingi huku tuzo ya Mo Ibrahim kupata kiongozi wa kumtunuku kati ya viongozi wasitaafu wa Afrika kutunukiwa'hatimae imepata mtu.

Taarifa zilizotufikia zimesema kuwa mwanamama rais mstaafu wa Liberia Bi Hellen Johnson Sirleaf ametukia tuzo ya hiyo, rais huyo mstaafu alipewa tuzo hiyo ijumaa illiyopita pale Kigli Rwanda.
,,
Taarifa zimesema kuwa rais huyo mstaafu aliingia kuiongoza nchi yake ikiwa imegawanyika kutokana na vita vya wenyewe kwa wanyewe vilivyodumu kwa muda mrefu,lakini mpaka anastaafu ameiacha nchi yake ikiwa moja, pia ameimarisha demokrasia imeshuhudiwa uchaguzi ndani ya nchi yake ukifanyika kwa huru na haki na kushudiwa mgombea wa upinzani akishinda kiti cha urais.

Tuzo ya Mo Ibrahim hutolewa kwa viongozi wastaafu wa Afrika ambao wameendesha nchi zao kwa kufuata sheria zinazozingatia haki za binadamu.

Related

News 1475699678212483460

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item