Antony Joshua amdunda Joseph Parker 1 April 2018.
Mwanamasumbi hatari Antony Joshua wa Uingerezaalfajiri ya kuamkia leo amempiga kwa point bondia kutoka Newsland Joseph Parker. Pambano hilo...

http://cmasele.blogspot.com/2018/04/antony-joshua-amdunda-joseph-parker-1.html
Mwanamasumbi hatari Antony Joshua wa Uingerezaalfajiri ya kuamkia leo amempiga kwa point bondia kutoka Newsland Joseph Parker.
Pambano hilo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenda masumbwi ulimwenguni kote,hii ni kutokana na mabondia hao wawili walikuwa hawajawahi kupigwa.
Pambano hilo lilitawaliwa na Antony Joshua karibia raundi zote Parker leo alizidiwa katika kila hali,pamoja na hayo urefu wa Joshua ulimpa wakati mgumu mpinzani wake,
Hadi inapigwa kengere ya mwisho inapigwa katika raundi ya mwisho majaji wote walimpa ushindi Joshua.