Pin It

Rais Jacob Zuma ang'oka.

Rais wa Afrika ya kusini bw Jakobo Zuma amejiuzuru wadhifa wa urais katka nchi ya Afrika ya kusini. Taarifa kutoka nchini humo zinasema kuw...

Rais wa Afrika ya kusini bw Jakobo Zuma amejiuzuru wadhifa wa urais katka nchi ya Afrika ya kusini.

Taarifa kutoka nchini humo zinasema kuwa bw Zuma alijiuzuru usiku wa kuamkia leo baada ya shinikizo kubwa kutoka katika chama chake cha ANC.

Vile vile imeelezwa kuwa kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kupigiwa kura ya kutokuwa na imaninae , Spika wa Bunge la Nchi hiyo alikuwa amewapa taarifa wabunge wa nchi hiyo juu ya uwezekano wa kuwepo kwa zoezi la kumpigia kura  ya kutokuwa na imani  narais Zuma.

Mh Rais Zuma aliamua kung'oka alipoona hali ya kisiasa katika chama chake inazidi kuwa mbaya kwa kwake.
.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item