Pin It

Hali ya ussfiri kwenda mikoani ni mbaya

Hali ya usafiri kwa watu wanaoenda mikoa mbali mbali, hapa nchini ni mbaya ,hii inatokana na wingiwa watu ukilinganisha na mabasi ya kwenda ...

Hali ya usafiri kwa watu wanaoenda mikoa mbali mbali, hapa nchini ni mbaya ,hii inatokana na wingiwa watu ukilinganisha na mabasi ya kwenda huko.

Mwandishi wa makala hii ameshuhudia kwa muda wa wiki moja sasa, tatizo la usafiri limekuwa ni kubwa na hasa usafiri wa kwenda mikoa ya kaskazini ya Kilimanjaro na Arusha.

Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu namajini Sumatra imekuwa ikitoa vibari kwa daladala za jijini Dar es salaam kutoa usafiriwa kwenda mikoani lakini bado tatizo lipo palepale.

Baadhi ya abiria wamependekeza kila mwaka inapofika muda kama huu mabasi ya taasisi mbalimbali za umma ikiwa ni pamoja na majeshi wafanye biashara ya kusafirisha watu.

Pichani ni inaonyesha ilivyo kero ya usafiri katika kituo cha ubungo.

Related

Makala 3738026907506129034

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item