Pin It

Waliomjeruhi Lissu wamemhujumu Magufuli.

Watu wengi wamekerwa na kitendo alichofanyiwa mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lissu cha kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi na watu w...

Watu wengi wamekerwa na kitendo alichofanyiwa mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lissu cha kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiojurikana.

Hata hivyo kuna maswali ya kujiuliza ilikuwaje washambuliaji hawa wafanye uovu wao siku na muda unaoendana na tukio la mh Rais kukabidhiwa ripoti ya madini ya almas na tanzanite?.

Upo uwezekano, kwa maoni yangu watu hao walilenga kufunika tukio la mh Rais ambalo linamasirahi makubwa kwa Taifa kwa vyovyote vile yaweza kuwa hayo ndiyo yakawa mahesabu yao.

Ukiangalia ni wamefanikiwa kwa kuwa toka siku ya uovu wao hadi sasa habari ni hiyo hiyo, haya ni maoni yangu tu.

Related

Makala 6147566693537006573

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item