Pin It

Picha mbalimbali za matukio ya kuagwa Rweyemamu

Mwandishi nguli hapa nchini mr Rweyemamu leo ameagwa na wanatasinia ya habari pamoja na wananchi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya...

Mwandishi nguli hapa nchini mr Rweyemamu leo ameagwa na wanatasinia ya habari pamoja na wananchi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya Mnazi mmoja.

Pamoja na wanahabari, walikuwepo viongozi mbalimbali wakiongozwa na waziri wa habar sanaa utamaduni na michezo Dk Harrison Mwakyembe mkuu wa mkoa bw Paulo Makonda badhii ya wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa siasa.

Related

News 7884914096633710537

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item