Mh amepigwa risasi
Mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mjini Dodoma na watu wasiojurikana. Taarifa zinaereza kuwa mh Liss...

http://cmasele.blogspot.com/2017/09/mh-amepigwa-risasi.html
Mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mjini Dodoma na watu wasiojurikana.
Taarifa zinaereza kuwa mh Lissu apigwa risasi katika sehemu za tumbo na mguunina hali yake imeelezwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa mh Freeman Mbowe, kuwa ni mbaya, shambulio hilo limetokea leo mchana katika makazi yake area D mjini Dodoma.