Pin It

Matokeo ya uchaguzi kenya yafutwa

Matokeo ya uchaguzi nchini Kenya yamefutwa na Mahakama ya juu/suprem court,habari zirizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa majaji wa mahakama...

Matokeo ya uchaguzi nchini Kenya yamefutwa na Mahakama ya juu/suprem court,habari zirizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa majaji wa mahakama hiyo wamesema kuwa matokeo ya uchaguzi yalichezewa na tume ya uchaguzi nchini humo.

Hata hivyo rais Kenyata amesikitishwa na maamzi ya majaji, pamoja na hayo amesema yupo tayari kwa hatua zilizoamuliwa na majaji hao na amewataka wakenya waendelee kuwa wamoja .

Wakati huohuo bw Raila Odinga amefurahia maamuzi ya majaji kufuta ushindi wa Uhuru Kenyatta hivyo amewataka wakenya kushikamana kuwa tayari kwa uchaguzi mpya.

Related

News 4234935374936274943

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item