Upigaji kura kenya
Shughuri ya upigaji kura nchini Kenya umefana kwa sababu hapakuwa na matukio ya uvunjivu wa amani. Taarifa kutoka katika maeneo mbalimbali ...

http://cmasele.blogspot.com/2017/08/upigaji-kura-kenya.html
Shughuri ya upigaji kura nchini Kenya umefana kwa sababu hapakuwa na matukio ya uvunjivu wa amani.
Taarifa kutoka katika maeneo mbalimbali nchini humo zinasema zoezi hilo halikukumbwa na vurugu, vituo vilifunguliwa mapema saa kumi na mbili asubuhi ya leo na kufungwa jioni ya leo saa kumina mbili jioni.