Pin It

Rais Dk John Pombe Magufuli aongeza siku

Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania Dk John Pombe Magufuli, amewaagiza viongozi wa mamlaka ya biashara za nje Tan trade kuongeza Sikh za...

Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania Dk John Pombe Magufuli, amewaagiza viongozi wa mamlaka ya biashara za nje Tan trade kuongeza Sikh za maonyesho ya sabasaba, kutoka Sikh Kumi hadi Sikh Kumi Na Tano.

Rais Dk Magufuli ameyasema hayo Jana wakati akifungua  maonyesho hayo ya mwaka huu,Dk Magufuli amesema kuwa Siku zilizokuwa zinatumika atika maonyesho hayo ni chache sana kwa kuwa pale ambapo maonyesho yananoga ndipo yanafungwa alisema kuwa Sikh ziongezwe ili with Na makampuni yaliyoleta bidhaa Zhao waweze kuziuza.

'Siku ziongezwe angalau Tano au NNE ili kuwawezesha watu  Na makampuni mbalimbali waweze kuuza bidhaa Zhao, hivi SASA maonyesho yanapochanganya mud a unaisha yanafungwa hi yo ongezeni siku alisema dk Magufuli.

Related

Makala 5934715473580827409

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Comments

Video ya Siku

item